Share

Pepo wa kisirani : Mwanafunzi wa darasa la 7 ajitoa uhai

Share this:

Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi ya Njegas amejitia kitanzi katika kijiji cha kimicha kaunti ya Kirinyaga.
Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 15 alipatikana akining’inia kwenye mti kando mwa barabara na wapita njia waliokuwa wakipeleka maziwa sokoni. 
Hayo yamejiri huku mzee wa miaka 60 akitiwa mbaroni Nyeri, kwa kumshika visivyo mwanafunzi wa kike walipokuwa ndani ya matatu.

Leave a Comment