Share

Pandashuka za Ali Punjani : Makaazi yake ni kama kasri, Nyali

Share this:

Huku vita dhidi ya mihadarati nchini vikizidi kushika kasi, macho yote sasa yameelekezewa raia ambaye hajafahamika na wengi—-ila anayefahamika sana na maafisa wanaokabiliana na vita dhidi ya mihadarati nchini. Ali Punjani.

Punjani, ambaye anadaiwa kuhusika katika ulanguzi wa mihadarati humu nchini, na hasimu wa familia akasha ambayo ina kesi ya ulanguzi wa mihadarati nchini marekani, sasa amesalalia kuwa hatari kwa usalama na anayesakwa na serikali.

Je, Ali Badrudin Punjani ni nani?

Leave a Comment