Share

Onyo la Inspekta Mkuu wa Polisi Joseph Boinnet

Share this:

Inspekta Mkuu wa Polisi Joseph Boinnet ameahidi oparesheni kali dhidi ya magari ambayo hayatazingatia sheria za trafiki, wakati ambapo sheria maarufu za Michuki zimerejeshwa kuanza kutekelezwa kuanzia juma lijalo. Boinnet aliyezungumza kwenye kitengo cha JKL jana usiku amesema polisi hawataruhusu magari yanayokiuka sheria kuwa barabarani. Aidha amesema atatoa tangazo kubwa mnamo siku ya Ijumaa. #Semanacitizen

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment