Share

Odinga asema yutayari kuanza kazi kama rais wa watu

Share this:

Kiongozi wa NASA Raila Odinga amesema sasa ameweka mikakati kuanza kuwahudumia wakazi Kama rais wa watu. Akizungumza kwenye hafla ya mazishi ya babake mkurugenzi wa habari wa chama cha ODM Philip Etale, Odinga amemkashifu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang’i kwa kupiga marufuku vuguvugu la NRM. Kiongozi huyo wa NASA sasa akisema kuwa ameilaumu serikali ya Jubilee kwa madai kuwa imeuteka uongozi kwa nguvu kinyume na matakwa ya wakenya.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment