Share

Nzige wavamia mashamba kaunti ya Turkana

Share this:

Kero la nzige linazidi kuwahangaisha wakaazi wa mji wa Lodwar kwa wiki moja mfululizo. Imedaiwa wadudu hao bado wanazaana na kuharibu mimea katika mashamba. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel nzige hao wameongezeka licha ya shirika la FAO kuleta ndege na magari ya kunyunyiza dawa kuwaangamiza.

Leave a Comment