Share

Nzige wameenea maeneo mengi nchini, Munya asema serikali inajitahidi

Share this:

Wakazi Wa Vijiji Vya Karabari, Muminji Na Karimari Eneo La Mbeereya Kaskazini Kaunti Ya Embu Leo Walishindwa Kwenda Kanisani Kutokana Na Uvamizi Wa Nzige Ambao Wanaendelea Kusabisha Uharibifu Wa Mimea Katika Mashamba Yao. Wakaazi Hao Waliamua Kupambana Na Wadudu Hao Wakitumia Mbinu Mbali Mbali Kuwafukuza. Hayayalijiri Huku Waziri Wa Kilimo Peter Munya Akifanya Ziara Kaunti Za Embu, Meruna Isiolo Kukadiria Hasara Iliyosababishwa Na Nzige Hao Wa Jangwani.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment