Share

Nicholas Nesbitt asema marekebisho ya sekta kibinafsi ni muhimu katika kuharakisha maendeleo

Share this:

Wadau Wa sekta kibinafsi katika jumuia ya Afrika mashariki wanataka kubuniwa kwa eneo litakalohakikisha viwango sawa vya ushuru wa kibiashara,malipo sawa ya mawasiliano ya simu na nauli za ndege katika kanda hii.Mwenyekiti wa muungano wa sekta ya kibinafsi,Nicholas Nesbitt amesema marekebisho hayo matatu ni muhimu katika kuharakisha maendeleo katika kanda hii.Hebu tuangazie habari mbali mbali za biashara.
Connect with KBC Online;
Visit our Website – http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter – https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook – https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram – https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

Leave a Comment