Share

Ndoa za mabasha : Mahakama kuu yaamua zisalie haramu

Share this:

Mahakama kuu leo imetoa uamuzi wa kuendelea kuharamisha ndoa za watu wa jinsia moja.
Wakitoa uamuzi huo, jopo la majaji watatu wa mahakama kuu limesema kuwa hakuna ushahidi kuwa mashoga na wasagaji huzaliwa wakiwa katika hali hiyo na kwamba wameshindwa kudhihirisha mahakamani kuwa wanadhalilishwa kikatiba .

Leave a Comment