Share

Ndege ya Kampuni ya Silverstone imeanguka katika uwanja wa ndege wa Wilson

Share this:

Ndege ya kampuni ya silverstone imeanguka katika uwanja wa ndege wa wilson. ndege hiyo iliyokuwa ikielekea lamu imeanguka ilipokuwaikipaa. baadhi ya watu wameripotiwa kujeruhiwa.

Leave a Comment