Share

Naibu rais William Ruto amkemea na kumkosoa waziri Fred Matiangi kufuatia matamshi yake

Share this:

Naibu rais William Ruto leo amemkemea na kumkosoa waziri wa usalama Fred matiangi kufuatia matamshi aliyoyatoa kaunti ya Kirinyaga ijumaa iliyopita. Ruto aliyezungumza katika kaunti ya Kiambu ameonekana kumlenga Matiang’i kwenye matamshi yake aliyowataja baadhi ya maafisa wa serikali kama wenye kiburi na madharau.

Leave a Comment