Share

Naibu Rais asisitiza ni wakati wa kuwahudumia wakenya

Share this:

Naibu rais William Ruto kwa mara nyingine tena amewaomba wakenya kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya serikali ya Jubilee.
Ruto amesema serikali inalenga kuangazia changamoto za kihistoria haswa katika umuliki wa ardhi na kuzitatua.
Haya yanajiri wakati ambapo kinara mwenza wa NASA Musalia Mudavadi amewaomba wakenya kuwa makini wakati wanapochagua viongozi kwa kuzingatia hali ya kisiasa ilivyo nchini.

Leave a Comment