Share

Mzazi aliyekuwa akifuatilia mkasa wa moto Ngara agongewa gari

Share this:

Mzazi mmoja aliyefika katika shule ya upili ya Ngara kujua hali ya mtoto wake, alipatwa na masaibu baada ya gari lake kugongwa.
Gari hilo liligongwa wakati alipokuwa nje ya lango la shule na gari lililokuwa likitumika kukarabati barabara ya kuingia shuleni. Aliyemgonga aliegesha gari kando kwa muda na kisha akatoroka.

Leave a Comment