Share

MWISHO WA NYEMBE: Jinsi ambavyo kampeni na hamasisho zimechangia kudhibiti mila duni

Share this:

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

Tohara ya wanawake ni mila ambayo imekuwapo kwa miaka mingi. Ila kampeni na hamasisho kutoka kwa wadau, utunzi wa sera maalum na sheria mahsusi za kukabiliana na ukeketaji vimechangia zaidi ufanisi wa juhudi za kuidhibiti mila hiyo. Anavyoripoti Shadrack Mitty, kwenye makala maalum‑ Mwisho wa Nyembe‑ yapo matumaini ya kutokomeza kabisa mila na desturi hiyo dhalimu. Tayari yapo maeneo na vijiji katika kaunti ya Kajiado ambako tohara ya wanawake haipo kamwe. Yote yakiwa matokeo ya jamii kuelimishwa kuhusu sheria na adhabu kali kwa wahusika.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment