Share

Mwanaume alilia haki baada ya kukatwa mkono Kwale

Share this:

Mwanaume Wa Miaka 28 Kutoka Kijiji Cha Miamba Eneo La Mkongani Huko Matuga Kaunti Ya Kwale analilia haki baada ya majambazi kumvamia na kumjeruhi vibaya miezi mitatu iliyopita. Majambazi hao walimkata mkono wake wa kulia Na kujeruhiwa mkono wa kushoto. Na ingawa nadai waliomshambulia anawajua, hakuna hata mmota aliyetiwa mbaroni.

Leave a Comment