Share

Mwanamume awaua wazazi wake Bungoma

Share this:

Familia mmoja katika kijiji cha Siritanyi eneo bunge la Kanduyi kaunti ya Bungoma inaomboleza vifo vya watu wanne baada ya kijana wa umri wa miaka 24 kuwaua wazazi wake na jirani aliyejaribu kuingilia kati baada ya kuskia mayowe. Wananchi waliojawa na ghadhabu walimpiga na kumuua kijana huyo aliyekuwa amejihami kwa rungu.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment