Share

| MWANAMKE BOMBA | Susan Mwikali – Muuguzi anayeishi na ulemavu wa kusikia na kuongea

Share this:

Huku ulimwengu ukiadhisha siku ya walemavu hii leo, katika makala ya Mwanamke Bomba tunamuangazia muuguzi mwenye ulemavu wa kutosikia na kuzungumza.
Susan Mwikali anayehudumu katika hospitali ya Avenue hapa jijini Nairobi ni mlemavu wa kwanza kuwahi kuajiriwa katika hospitali ya kibinfasi humu nchini.
Hii hapa simulizi ya mwanamke huyo bomba ambaye anasifika kwa utendakazi bora katika kipindi cha miaka saba aliyoajiriwa.
#MwanamkeBomba #SusanMwikali

Leave a Comment