Share

| MWANAMKE BOMBA | Lilly Konya ni fundi wa jokofu

Share this:

Soko la Gikomba hapa Nairobi linatambulika sana kwa ununuzi na uuzaji wa bidhaa mbalimbali eneo la kuuzia nguo kuukuu likiwa maarufu zaidi. Hata hivyo ndani ya soko hilo kujna dada mmoja anayechimba riziki yake ya kila siku kwa kurekebisha majokofu ya kampuni ya Coca-Cola. Niliandamana naye akihudumia baadhi ya wateja na kuona pandashuka anazopitia kila siku kama mwanamke aliyejitisa kwenye kazi hiyo. Leo basi ndiye anayetupambia makala yetu ya mwanamke bomba

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment