Share

Mwanamitindo Ajuma Nasenyana atoa msaada wa sodo Turkana

Share this:

Siku chache baada ya runinga ya Citizen kuangazia masaibu ya wasichana katika kaunti ya Turkana wanaokosa sodo na kuathiri elimu yao, sasa watahiniwa wa KCSE wamepata afueni kwa kusambaziwa bidhaa hizo muhimu.

Leave a Comment