Share

Mwanajeshi Kipkoech awatia shime wenzake licha ya kulemazwa

Share this:

Amani ni sharti idumu, ndio kauli yake coplo rodgers chesire hata baada ya kujeruhiwa vibaya akiwa mstari wa mbele kuipigania nchi. Kadzo gunga alipata fursa ya kuzungumza na mwanajeshi huyu ambaye sasa anataka kuwa karani katika kikosi cha jeshi licha ya kupooza kwa sababu ya jereha la risasi kwenye uti wa mgongo.

Leave a Comment