Share

Mwanafunzi wa darasa la 7 ajitia kitanzi kwa kukosolewa kuhusu alama za somo la hesabu

Share this:

Mwanafunzi wa darasa la saba amejitia kitanzi kisii baada ya kukosolewa kuhusu alama alizopata kwenye somo la hesabu. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu chrispine otieno mwanafunzi huyo anadaiwa kujaribu kujirusha mtoni kabla ya kujinyonga kwa kamba.

Leave a Comment