Share

Mwanafunzi bora akosa karo ya kidato cha kwanza

Share this:

Huku waziri wa elimu  profesa George Magoha akikana leo uwapo wa ubaguzi katika zoezi ya wanafunzi kujiunga na shule ya upili.
 Mtahiniwa mmoja kwa jina Bramwel Chepkuto japo kuibuka mwanafunzi bora kaunti ya Baringo na kupata alama 386, sasa amejipata kwenye njia panda, kwani hana wa kumsaidia, kujiunga na shule ya upili ya wavulana ya Kapsabet .
Kama anavyotuarifu Shukri Wachu, ajabu ni kuwa licha ya vita vya mara kwa  kumtengenaisha na familia yake kwa miaka mitatu hivi hakufa moyo kufanya vyema .

Leave a Comment