Share

MWANAFUNZI ATOWEKA MOMBASA: Anudha Mohamed Abbas alipotelea tangu jana

Share this:

Familia moja katika eneo la Mto Panga huko Kisauni kaunti ya Mombasa, inahangaika kufuatia kupotea kwa binti yao mwenye umri wa miaka minne, aliyetoweka hapo jana mwendo wa saa kumi alasiri.
Kulingana na familia, huenda mtoto huyo ametekwa nyara na watu fulani, na sasa familia husika inaiomba serikali kuwasaidia kumpata mtoto huyo.

Leave a Comment