Share

Mwalimu mfuska Embu ?Mwalimu ampachika mimba mwanafunzi

Share this:

Katika kisa cha kushangaza , familia moja kutoka Embu inalilia haki baada ya mwanafunzi wa kidato cha tatu kubakwa na  kisha kupachikwa mimba na mwalimu wake .
 Inadaiwa  mwalimu huyo alimuhadaa na kumnajisi mwanafunzi huyo,mamake mwanafunzi sasa anaomba kupata haki kwani bintiye ana mimba ya miezi saba. 
Mwanahabari wetu Lenox Sengre  anazamia suala hilo.

Leave a Comment