Share

Mutahi Kahiga aapishwa kuwa gavana wa nne magavana wakisusia sherehe

Share this:

Mutahi Kahiga sasa ameapishwa rasmi kama gavana wa nne wa kaunti ya Nyeri, baada ya kifo cha marehemu gavana Dr Wahome Gakuru.
Kahiga ambaye alikuwa naibu gavana ameapishwa siku saba baada ya kifo cha Gakuru , kwenye ajali iliyotokea katika barabara kuu ya kutoka Nyeri kuelekea Nairobi.
Lakini la kushangaza mtazamaji ni kwamba hakuna gavana yeyote aliyehudhuria hafla hiyo ya uapisho, ila naibu gavana wa Kirinyaga. Kiama Kariuki

Leave a Comment