Share

Mume ajitia kitanza kwa kujirusha kwenye bwawa,Baringo

Share this:

Wanaume wawili walijitoa uhai katika visa vinavyosemekana  ni kukosa maelewano  na wapenzi wao katika kaunti za Baringo na Nyeri .
Huko Baringo mwanamume mmoja anasemekana kujirusha kwenye bwawa  la maji na kuzama , huku katika kaunti ya Nyeri , mume akimkatakata mkewe kabla ya kujitia kitanzi.

Leave a Comment