Share

Mtu mmoja auawa, polisi wajeruhiwa katika shambulizi la Al-Shabaab

Share this:

Mtu mmoja ameuawa na maafisa wawili wa polisi kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa mabasi ya abiria na polisi kushambuliwa na wanamgambo wa Alshabaab katika barabara ya Malindi kuelekea Malindi, kaunti ya Lamu leo asubuhi.

Leave a Comment