Share

Mtoto wa miaka 7 aliyeuawa Matungu azikwa

Share this:

Hali ya majonzi ilitanda katika sehemu ya panyako eneo bunge la matungu wakati wa mazishi ya mtoto wa miaka saba Malik Wamukoya aliyeuawa kinyama na watu wasiojulikana siku ya jumatatu nyumbani kwao.
Kifo cha kijana huyo kilijiri  siku chaahe tu baada ya  wizara  ya  usalama  wa ndani kuanzisha  operesheni  ya  kuwasaka  washukiwa  wa  mauaji  ya  kiholela ambayo  yamekuwa  yakifanyika  kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

Leave a Comment