Share

Mtoto Ethan Muendo aliyefariki hospitali ya Shalom alizikwa

Share this:

Mtoto Ethan Muendo ambaye aliyefariki kwa njia tatanishi kwenye hospitali ya Shalom kaunti ya Machakos alizikwa hii Jumatano nyumbani kwao kaunti ya Makueni huku huzuni ikitanda mazishi hayo.
Ethan anasemekana kudungwa  sindano aina ya Morphine hospitalini humo, ambayo mara nyingi hutumika wakati wa upasuaji huku kipimo cha dawa hiyo kikiwa cha juu zaidi.

Leave a Comment