Share

Mtoto afariki baada ya kupigwa na umeme Manyatta, Kisumu

Share this:

Familia moja katika mtaa wa Manyatta kaunti ya Kisumu inaomboleza kifo cha mtoto wao aliyefariki baada ya kupigwa na nguvu za umeme wa stima. Hiki ni kisa cha nne kutokea mtaani humo katika kipindi cha mwaka mmoja na sasa wakaazi wanahofia kuna tatizo la nyaya za stima eneo hilo

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Leave a Comment