Share

Mti wa Mugumo unaodaiwa kuanguka mwezi mmoja uliopita wasimama tena

Share this:

Wakaazi wa vijiji vya Yamumbi na Lemok katika kaunti ya Uasin Gishu wanataka wazee wa jamii za Kalenjin na Kikuyu kushirikiana na kufafanua tukio la mti wa Mugumo kuanguka mwezi mmoja uliopita na kusemekana kusimama hiyo jana. Na kama mwanahabari wetu Gabriel Kudaka anavyoarifu, mti huo umekuwa kivutio cha wengi.

Leave a Comment