Share

MSWADA WA UGAVI WA MAPATO: Wawakilishi wa Mabunge kuanza vikao kesho

Share this:

Wawakilishi wa Bunge la Kitaifa na lile la Seneti wanaofaa kuafikia makubaliano kuhusiana na mswada wa ugavi wa fedha kwa serikali za kaunti wataanza vikao vyao kesho ili kutathmini mwelekeo ambao suala hilo litachukua.
Maseneta wanashikilia kuwa mgao huo unafaa kuwa shilingi bilioni 335 huku wabunge wakipinda pendekezo la seneti na kutaka mgao huo uwe shilingi bilioni 310.

Leave a Comment