Share

Msichana wa miaka 13 aliyenajisiwa Homa Bay kufanyiwa upasuaji

Share this:

Msichana wa miaka 13 aliyenajisiwa na kisha kukatwa sehemu zake za siri huko homabay wiki jana, anaendelea kupata matibabu, katika hospitali ya nairobi womens hapa jijini nairobi.Viongozi wa kike mbao walifika mapema hii leo kufariji familia ya msichana huyo, wamekashifu vikali tukio hilo na kuzitaka idara husika kuwanasa washukiwa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment