Share

Msichana adai alinajisiwa na polisi Bungoma

Share this:

Familia moja kutoka Kijiji cha Mulatiwa , kaunti ya Bungoma inalilia haki baada ya mwana wao mwenye umri wa miaka kumi na mitano kujifungua mtoto majuma mawili yaliyopita baada ya kupachikwa mimba na anayedaiwa kuwa afisa wa polisi Oktoba mwaka jana. Na katika Kaunti ya Nakuru,mwanafunzi wa kidato cha tatu anadai kubakwa na mwalimu wa somo la Kemia katika shule ya Upili ya wasichana ya Jomo Kenyatta eneo la Bahati,Nakuru.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment