Share

Mshukiwa mkuu wa mauaji Mlima Elgon kuwa rumande siku 10 zaidi

Share this:

Mshukiwa mkuu wa mauaji mlima Elgon Timothy Kitai almaarufu “Cheparkach” ataendelea kuzuiliwa kwa siku kumi zaidi kabla ya kujibu mashtaka dhidi yake baada ya mahakama kuu ya Nairobi kukubali ombi la upande wa mashtaka.
Cheparkach alijisalimisha katika  kituo cha polisi cha Eldoret mnamo Jumatatu baada ya kusakwa na polisi kwa muda kuhusiana na mauaji ya zaidi ya watu 35 mapema mwaka huu.
Angela Cheror ametuandalia taarifa hii na nyinginezo katika mseto wa mahakama.

Leave a Comment