Share

Msasa wa tume ya NLC : Wateule sita wahojiwa na na bunge

Share this:

Vioja na sarakasi vimetawala kikao cha kuwapiga msasa makamishna waliopendekezwa kuchukua nafasi katika tume ya ardhi nchini walipofika mbele ya kamati ya ardhi bungeni.
Miongoni mwa waliovutia hisia tofauti ni pamoja na aliyekuwa mbunge wa Nyeri mjini Esther Murugi kuhusu umri na mali yake pamoja na Gershom Otachi aliyependekezwa kwa nafasi ya mwenyekiti ambapo utata uliibuka kuhusu cheti chake cha kulipa ushuru.

Leave a Comment