Share

Msako wa taasisi bandia: Taasisi ya Alison Eastleigh yafungwa

Share this:

Zaidi ya wanafunzi 20 wamekamatwa na taasisi ya mafunzo ya Alison kufungwa kufuatia msako wa taasisi zisizokuwa na vyeti vya kuendesha shughuli hizo mtaani Eastleigh leo.
Kama Robi Omondi anavyotuarifu, wanafunzi hao hawakuwa na vitambulisho au vyeti vyovyote vya kudhibitisha iwapo wao ni raia wa Kenya au la.
Sasa msako umeng’oa nanga kubaini ukweli wa asili yao ni gani.

Leave a Comment