Share

Mradi wa malezi bora umezinduliwa katika kaunti ya Siaya

Share this:

Utafiti unaonyesha kuwa watoto wanaopata malezi na lishe bora huwa na nafasi nzuri ya uvumbuzi na tabia nzuri. mradi wa malezi bora umezinduliwa leo katika kaunti ya Siaya ikiongozwa na mkewe kinara wa odm Raila Odinga,Ida Odinga pamoja na mkewe gavana wa Siaya, cornell rasanga, Rosella Rasanga.

Leave a Comment