Share

Mradi wa kuwapa wakaazi maji safi ya kunywa wazinduliwa Wajir

Share this:

Hatimaye wakaazi wa kaunti ya wajir wameweza kupokea maji Safi ya kunywa baada ya kampuni ya maji na majitaka kaunti hiyo kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya serikali kuzindua kituo Cha kutengeneza maji hayo. Kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha Lita elfu ishirini kwa siku moja na itakua afueni kwa wakaazi hao ambao wamekuwa wakitumia maji chumvi kwa muda mrefu Sasa.

Leave a Comment