Share

Mpaka wa Kenya na Tanzania wafungwa

Share this:

Tangu kufungwa kwa mpaka wa Kenya na taifa jirani la Tanzania,shughuli za kibiashara katika mji wa mpakani wa Taveta zimeathirika pakubwa.Hii ni kutokana na mizigo kukosa kuingia kutoka Tanzania. Aidha Soko la Taveta linalotegemewa na wafanyibiashara wa mataifa haya mawili limefungwa huku wafanyibiashara wa ndizi na matunda wakilalamika kwamba hasara wanayopata ni kubwa.

Leave a Comment