Share

Mombasa Hospital imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya mkasa

Share this:

Mojawapo ya hospitali za zamani zaidi mjini Mombasa “Mombasa Hospital” imefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia mkasa wa moto uliotokea jana usiku na kuteketeza wadi mbili. Francis Mtalaki anatuarifu zaidi huku taarifa za kukinzana zikitolewa kuhusu chanzo cha moto huo.

Leave a Comment