Share

Mkutano wa usalama wa kitaifa yafanyika katika kaunti ya Mandera

Share this:

Maafisa wakuu wa usalama wa Kenya wanakutana na wajumbe kutoka Somalia mjini Mandera kujadili mikakati ya kuimarisha usalama baina ya mataifa haya mawili. Ikumbukwe kuwa mji wa Mandera umevamiwa mara kadhaa ma magaidi wa al-Shabaab ambao huvuka mpaka kutoka Somalia na kuinguia humu nchini.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment