Share

Mkurupuko wa Ebola, Uganda

Share this:

Kufuatia mkurupuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda,serikali imeimarisha ukaguzi katika mpaka wake na taifa hilo ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo humu nchini.
Hatua hii imechukuliwa baada ya  kijana  mwenye umri wa miaka mitano kufariki kutokana na ugonjwa huo nchini uganda huku jamaa zake wawili wakigunduliwa kuambukizwa na  ugonjwa huo.
Serikali ya Uganda imedhibitisha visa hivyo na kusema kuwa mkurupuko huo ulitokea katika mkoa wa Keses unaopakana na taifa la jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.

Leave a Comment