Share

Mkufunzi wa Harambee Stars Sebastian Migne hajapokea mshahara wa miezi matatu

Share this:

Rais wa shirikisho la soka nchini Nick Mwendwa amethibitisha kwamba Mkufunzi wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Sebastian Migne , bado hajapokea mshahara wa miezi mitatu,ila ameahidi kwamba kocha huyo atapata mshahara wake shirikisho likipokea hela kutoka katika hazina ya michezo inatarajiwa kuanza mikakati ya kuachilia fedha hizo siku ya jumanne. Nick aliyazungumzia hayo na mengine mengi katika mahojiano na mwanahabari wetu robinson okenye, katika kipindi chetu cha michezo cha ktn scoreline siku ya jumapili.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment