Share

Mkasa wa ndege: Kikao cha kutoa habari kwa familia za wahasiriwa, Ethiopia

Share this:

Familia za waathiriwa wa mkasa wa ndege ya Ethiopia ET 302 iliyotokea Jumapili wanaendelea kuhudumiwa katika hoteli ya Skylight iliyoko ndani ya uwanja wa ndege wa Bole mjini Addis Ababa, Ethiopia.

Leave a Comment