Share

Mjeledi wa Gavana Mutua : Wafanyakazi 3 wakamatwa hospitali ya Shalom

Share this:

Huenda hospitali ya Shalom mjini AthiRiver kaunti ya Machakos ikafungwa iwapo haitaweka mikakati kuhakikisha inaendesha shughuli zake ifaavyo.
Kufuatia uchunguzi uliotekelezwa na maafisa wa serikali ya kaunti hiyo,wafanyakazi watatu wamekamatwa akiwemo msimamizi wa hospitali hiyo kufuatia kisa ambapo video ilimuonyesha mgonjwa akijifungua sakafuni.

Leave a Comment