Share

Mishahara ya wafanyikazi katika kaunti 28 haijalipwa tangu Januari

Share this:

Muungano wa wafanyikazi wa umma sasa umeipa serikali kuu makataa ya hadi Jumatatu wiki ijayo kuhakikisha wafanyikazi wa kaunti 28 wamepata mishahara na marupurupu yao na kuondolewa kwenye orodha ya waliokosa kulipa madeni yao. Katika mahojiano na runinga ya citizen, katibu mkuu wa muunganoo huo amesema wafanyikazi wengi wanaishi kwa umaskini.chemutai goin na taarifa zaidi.

Leave a Comment