Share

Misa ya maombi yaandaliwa kwa waliongamia Solai, Nakuru

Share this:

Familia za watu 41 waliopoteza maisha kwenye mkasa wa bwawa la Patel zimepokea miili ya wapendwa wao kwa ajili ya maziko. Mapema hii leo kulikuwa na ibada ya wafu iliyoandaliwa na madhehebu tofauti huko Solai. Ibada hii ilihudhuriwa na viongozi tofauti ikiwemo rais uhuru kenyatta na Naibu wake, William Ruto.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment