Share

Mirindimo ya 2022: Naibu rais akita hema Bungoma

Share this:

Viongozi wa mrengo wa Tanga Tanga sasa wamesisitiza kuwa mawaziri  na watumishi wengine serikalini  waliotajwa katika njama ya kumuangamiza naibu wa rais William Ruto wajiuzulu mara moja.
Wakizungumza katika eneo la chwele kaunty ya Bungoma ambapo naibu wa rais Wiliam Ruto alikuwa katika ziara ya eneo hilo, viongozi hao wameonya  dhidi ya  kuhujumiwa kwa viongozi wanaomuunga mkono naibu wa rais

Leave a Comment