Share

Mikiki ya Soya na soka: Wanaspoti bora kutuzwa

Share this:

Mgeni wa heshima katika tuzo za Soya ni mwanariadha kutoka Ivory Coast, Marie-Josee Ta Lou. Hafla hiyo itafanyika katika makavazi ya Fort Jesus katika kaunti ya Mombasa.

Leave a Comment