Share

Mike Sonko ahairisha tena kumtaja naibu wake

Share this:

Gavana wa kaunti ya nairobi Mike Mbuvi sonko kwa mara nyingine amekosa kutaja jina la anayempendekeza kuwa naibu wake. Sonko amedai kupokea barua kutoka kwa muungano wa nasa, ukipendekeza kuteuliwa kwa rahab wangui ndambuki kama naibu wake, kuambatana na mkondo wa siasa za mapatano, almaarufu ‘the handshake’.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment